Wednesday 8 May 2013

BREAKING NEWS KUUA MAASKOFU, MAPADRE. MUFTI NA MASHEHE SIO KUUMALIZA UKRISTO AU UISLAMU


 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda,alisema watu wasijidanganye hata kidogo,kwa kudhani kuwa wakiwaua viongozi wa dini ndiyo mwisho wa Ukristo au Uislamu.Hapana watu wataendelea na Imani zao.
Alisema kuwaua Maaskofu,Mapadre au Mufti na Mashekhe ndiyo mwisho wa Ukristo au Uislamu ni kujidaganya.kwani pale unaua Askofu ,Padre, Mufti au Shekhe basi siyo kuua Ukristo au Uislamu.

Kauli  hiyo aliitoa alipokuwa akizungumza  na wananchi wa Mkoa wa Arushu alipo kwenda kutoa pole kwa wahanga wa Bomu lililolipuliwa ndani ya Kanisa katoliki la Mt.Joseph Mfanyakazi.Na kuwataka wanachi watulie nakuwaombea majeruhi wapate nafuu mapema ili waungane na Jamaa zao.


No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO