Saturday 4 May 2013

KONGAMANO LA WAANDISHI LAMALIZIKA ARUSHA.

                                                              Picha siyo ya tukio


Kongamano la waandishi wa habari lamalizika jijini Arusha huku waandishi wa habari wa Afrika mashariki watoka na azimio la ARUSHA . la uhuru wa vyombo vya habari.

Kongamano hilo limefungwa na Katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika mashariki Dr Richard Sezibera .

Kongamano hilo ni muhimu kutokanaa na ujumbe uliotolewa kwa Serikali na jamii kuona umuhimu wa uhuru wa vyombo vya habari. Hasa ukizingatia kauli mbiu inayosema USALAMA NA MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA KAZI KWA WAANDISHI WA HABARI NA WAHARIRI AFRIKA MASHARIKI.





No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO