Thursday 9 May 2013

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA DINI YENYE UCHOCHEZI


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya NChi, EMmanuel NChimbi, ameliagiza jeshi la polisi kuanzia IGP, RPC, OCD na OCS kuwachukulia hatua wale wote wanaoendesha mihadhara ya kidini yenye kuchochea vurugu na mifarakano katika jamii. Nchimbi amesema kuwa kiongozi yeyote ambaye atabainika kutochukua hatua licha ya taarifa kuripotiwa kwake basi atakwenda na maji Kauli  hiyo  ameitoa   jijini dar es salaam jana wakati akiongea na wawakilishi wa viongozi wa dini na vyombo vya jeshi la polisi mkoa wa dar es salaam

DR KAFUMU WA IGUNGA TABORA AREJESHEWA UBUNGE WAKE

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Baada ya Mhe. AESHI HILLAL Mbunge wa Sumbawanga Mjini(CCM)  kurejeshewa  ubunge  wake  mahakamani,leo tena Mahakama ya Rufaa imemrudishia Ubunge DK. DALALY PETER KAFUMU ambaye alikuwa  ni  mbuge  wa  Igunga  kwa  tiketu  ya  Chama Cha Mapinduzi -CCM. Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema. ..

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO