Thursday 2 May 2013

MEIMOSI RUVUMA YAFANA

            Wafanyakazi wa chuo cha LITA MADABA  wakipita mbele ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma
               Wafanyakazi wa Shirika la utangazji Tanzania wakipita mbele ya Mgeni Rasmi

                 Mmiliki wa blog ya Demashonews akichukua matukio siku ya meimosi
Viongozi wa mkoa, wilaya na vyama vya wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano kwa        wafanyakazi daima 
                                           wafanyakazi nao wakiimba wimbo huohuo.

 Wakwanza kushoto ni Mtangazji wa shirika la Utangazaji   Tanzania (TBC) Catherine Nyoni  ambaye pia ni mmiliki wa CATHYHABARI BLOG. katikati ni Mkuu wa kandaTBC Songea  Hannah Mayige na kulia ni mwandishi wa chaneli Ten Emmanuel Msigwa

                                                                     

                                                 katikati ni  mwalimu FATINA KITETE

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO