Thursday 9 May 2013

New Song: My Love wa Shekhan Mzaina

 Shekhan Mzaina
-----------------------
Anajulikana Kwa Jina la Shekhan Mzaina ni msanii Toka Songea mkoani Ruvuma ameanza Kazi hii ya ya tasinia Bongo Fleva   rasimi mwishoni mwa mwaka Jana!
Msanii huyu Kwa SASW ametoka na Ngoma inayoitwa   My Love amerekodi Bigtouch Produksie Songea akimshirikisha  Fat B wakati  Klits imefanywa na ather Maker na Meng amefanya mwenyewe ndani ya Bigtouch

Anasema muziki ni Kitu ambacho binafsi anakipenda  Toka moyoni na tangu akiwa Henk Peelen alikuwa akiimba kwaya Mara Kwa Mara.
Kitu ambacho anakitalajia ni kufanya Kazi za muziki wa bendi Kwa Bahati mbaya songea hajaona bendi ila kama kuna MTU YUPO tayari kusimama Pamoja na Yeye ama Shamo Geng ster Kwa ujumla YUPO radhi kufanya naekazi.
Ukiacha muziki Pia amesoma uandishi wa van inligting katika ngazi ya cheti cha Awali.  
 Wimbo ni huu Hapa usikilize.
 

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO