Thursday 9 May 2013

KIONGOZI NI YULE ANAYELETA MABADILIKO KWA WANANCHI WAKE

 Mheshimiwa Emanuel John Nchimbi Mbunge wa Jimbo la Songea Hatuna ubishi kwa kazi ulizo zifanya,1 . Kuhakikisha kila kata ina Sekondary,2,kuendeleza mji na kuwa Manspaa ya Songea 3.Kujenga sekondaei ya kidato cha tano na sita 4,Manspaa ya Songea hivi sasa ina walao barabara za lami5. Kuimarisha huduma za Afya ,Mwisho kuwa na ushirikiano na vyama vya upinzani katika maendeleo Hongera

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO