Monday 13 May 2013

POLISI RUVUMA WAKAMATA MENO YA TEMBO


Meno ya Tembo ambayo yalikuwa kwenye Begi vipande 16 vyenye uzito wa kilo 18 vyenye thamani ya Fedha za Kimarekani US Dola 30,000 Yalikuwa yakisafirishwa kutoka wilaya ya Namtumbo kwenda Songea

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO